top of page

WASILIANA NA

Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo. Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani yake Kristo. kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu na watu wasio na hatia mbele zake katika upendo.  akiisha kutuchagua tangu asili, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake (Waefeso 1:2-5}. Jina la Bwana lihimidiwe.

Asante kwa kuwasilisha!

Simu: +256 (0)78 039 4580

     +256 (0)75 163 4094

    
 

Busiika - Senero, Luweero

Sanduku la Posta 33276

Kampala Uganda

bottom of page